Sikiliza na Pakua Upo Hapo ya Mwana FA, AY na Fid Q Kupitia Mkito App Upate Punguzo la 50% - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sikiliza na Pakua Upo Hapo ya Mwana FA, AY na Fid Q Kupitia Mkito App Upate Punguzo la 50%

Ngoma kali ya wakali na legends wa Bongo Fleva nchini Tanzania ambao pia wanatamba nje ya Tanzania, Hamis Mwinjuma, Ambwene Yessaya na Fareed Kubanda inayokwenda kwa jina la “UPO HAPO” inapatikana exclusively kupitia Mkito App ambayo imezinduliwa rasmi hiyo jana na inapatikana kwenye Playstore http://bit.ly/-Mkito-Android-App

Mkito App inakuwezesha kusikiliza na kupakua nyimbo za wasanii wa ndani ya Tanzania na wa Kimataifa BILA KIKOMO katika ladha tofauti kama Afrobeat, Genge, Bongo Flava, Swahili Rap, Fusion, Jazz, Singeli, Taarab, Zouk, Soul, Reggae, muziki wa jadi, Beats, Mashairi na maudhui mengine ya sauti - popote ulipo.
Katika jambo ambalo Mkito wamefanya poa sana ni kuiwezesha App hiyo kucheza nyimbo ambazo umezitunza kwenye simu yako au au kadi ya kumbukumbu na kuhakikisha kuwa mzuka unaendelea popote unapoenda! Ipakue leo ufurahie kile ambacho umekuwa ukikosa.

Jinsi ya kupata Punguzo kupitia Coupon

1. Pakua Mkito App kwenye simu yako

2. Jisajili kwa kupitia barua pepe au akaunti ya mtandao wa kijamii

3. Ongeza salio kwenye akaunti yako ya Mkito (MPesa/Tigo Pesa/Paypal)

4. Jiunge na kifurushi (Ingiza code “UPOHAPO” unapojiunga upate punguzo la 50%)

5. Furahia muziki bila kikomo popote ulipo
Haya ni baadhi ya matukio katika uzinduzi wa video hiyo ya UPO HAPO uliofanyika Tips Bar Mikocheni.
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.