Picha: Aika wa Nahreel ni Mama Kijacho - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Aika wa Nahreel ni Mama Kijacho

Penzi kati ya producer Nahreel na msanii Aika wanaounda kundi la Navykenzo linazidi kunoga na kubariki ambapo mrembo huyo amebahatika kupata ujauzito.

Stori ya mapenzi kwa wawili hao ilianzia Chuoni nchi India, na imeendelea kuwa kivutio kwa watu kutokana na ukaribu na mahaba walyionao, kwa sasa penzi hilo litazidi kuwa moto kwani wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza anayesadikika kuwa ni wa kiume.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Nahreel ameposti picha ya mrembo wake na kuandika “Dear #Gold we cant wait to see you ‘little guy”.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.