Mapenzi Yamtesa Lady Jaydee, Afunguka Haya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mapenzi Yamtesa Lady Jaydee, Afunguka Haya

Msanii Lady Jaydee amesema sasa hivi hafikirii kufunga ndoa na mchumba wake Mnigeria ambaye pia ni msanii, kwa sababu haamini kila mahusiano ni lazima yaishie kwenye ndoa.

Jaydee ametoa siri hiyo leo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kuwataka watu wasitegemee jambo hilo kwake na wasikariri kila mahusiano yataishia kwenye ndoa, kwani wapo waliokimbilia ndoa na zikawashinda.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.