Baraka The Prince Ajibu Ishu ya Kuwa na Matatizo na Alikiba - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baraka The Prince Ajibu Ishu ya Kuwa na Matatizo na Alikiba

Msanii Baraka The Prince ambaye alikuwa chini ya lebo ya Rockstar4000 ambayo kwa sasa inaongozwa pia na msanii Alikiba, amesema hana tofauti yoyote na Alikiba licha ya kuondoka Rockstar4000.

Baraka The Prince ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba hajawahi kugombana na Alikiba, ingawa tangu atoke Rockstar4000 hajawahi kuwasiliana naye.
Baraka The Prince amendelea kwa kusema kwamba watu ndio wanaaminisha wenzao kwamba wawili hao wana tofauti, na licha ya kutoka Rockstar4000, bado hajaambiwa sababu rasmi ya yeye kuondolewa.

Tazama video yote hapa chini;

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.