Wayne Rooney Apigwa Marufuku ya Kuendesha Gari kwa Miaka 2 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wayne Rooney Apigwa Marufuku ya Kuendesha Gari kwa Miaka 2

Mchezaji wa Everton Wayne Rooney amekiri kuendesha gari akiwa amelewa na kupewa adhabu na mahakama leo.

Mahakama imempa Rooney adhabu ya kutoendesha gari kwa muda wa miaka miwili na kufanya masaa 100 ya huduma za jamii baada ya kukiri kuendesha gari akiwa amelewa.

Huku ilitolewa Leo katika mahakama ya Stockport Magistrates, Wayne Rooney alikamatwa na kosa hilo na polisi maeneo ya Wilmslow, Cheshire huko nchini England saa za mapema Septemba 1 mwaka huu.

Pia Rooney aliamuriwa kulipa pauni 170 alipofika mahakamani hapo leo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.