VIDEO: Harmorapa Atoa Bonge la Dongo Kwa Sarah wa Harmonize na Wema Sepetu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

VIDEO: Harmorapa Atoa Bonge la Dongo Kwa Sarah wa Harmonize na Wema Sepetu

MSANII wa anayechipukia kwa kasi nchini kwenye miondoko ya Hip Hop, Harmorapa, amefunguka mengi juu ya mpenzi wa mwanamuziki mwenzake, Harmonize, anayefahamika kwa jina la Sarah na mpenzi wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Madam Wema Sepetu, akisema wote ni mabibi yaani watu wenye umri mkubwa.

Mtazame hapa chini akifunguka : Bofya Play

Harmorapa alishawahi pia kufunguka mengi juu ya yeye kumpenda Wema aliposema yupo tayari kumlipia fedha yoyote ile kwa ajili ya kuishi naye. Lakini, baadaye aligeuka na kumponda mrembo huyo akidai ana umri mkubwa pia.

Mwanamuziki huyo machachari ‘alimshauri’ Harmonize atafute mpenzi anayeendana na umri wake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.