Picha ya Inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa Kitandani Yavuja Mtandaoni, Pia Jina La Mtoto wa Hamisa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha ya Inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa Kitandani Yavuja Mtandaoni, Pia Jina La Mtoto wa Hamisa

Miongoni mwa stori kubwa katika burudani na udaku Tanzania ni Picha inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wakiwa kitandani imesambaa mtandaoni saa chache baada ya kuisha kwa 40 ya mtoto wa kiume wa Hamisa anayetajwa kuwa ni mtoto wa Diamond.

Ikiwa ilitegemewa Hamisa atamuonyesha mtoto wake 17 September 2017, staa huyu hajafanya hivyo pakiwa na tetesi kuwa Diamond amekataa jambo hilo kufanyika mpaka aweke mambo sawa.

Jambo lingine ambalo limekuwa gumzo mtandaoni nikubadilika kwa jina la mtoto huyu , Tetesi zinasema Prince Abdul Naseeb kwa sasa anaitwa Prince Abdul Latif.
KWA MASTORI KIBAO FASTA NA UHAKIKA BOFYA HAPA KUWA NA APP YETU TUKUTUMIE HABARI ZOTE MAPEMA BURE KABISA.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.