Nisha: Mpenzi Wangu Marufuku Kwangu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nisha: Mpenzi Wangu Marufuku Kwangu

STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa, hana kawaida ya kuruhusu mpenzi wake kufi ka nyumbani kwake kwa vile anahofi a kumfundisha maadili mabaya mtoto wake ambaye hivi sasa ameshakua mkubwa.

Akizumza na Za Motomoto News, Nisha alisema kuwa, kubadilika kwa dunia ya sasa, kumesababisha watu kutoaminika hivyo tahadhari ya hali ya juu inapaswa kuchukuliwa kuhusu wapenzi wake kufi ka kwake hasa mwanaye Iptysam anapokuwepo.

“Kama ni boyfriend huwa tunakutana sehemu nyingine, lakini siyo nyumbani kwangu mwanangu akiwepo, maana sitaki akue katika maadili mabaya,” alisema Nisha.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.