Mhe. Lowassa Amjulia Hali Lissu Nairobi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mhe. Lowassa Amjulia Hali Lissu Nairobi

Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Edward Lowassa amewasili Nairobi nchini Kenya kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu aliyeshambuliwa kwa kupigwa risasi ambaye kwasasa ana patiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan nchini humo.

Mhe. Lowassa leo kupitia ukurasa wake wa Twitter, ametweet:

“Earlier today i paid a visit at Nairobi Hospital to see our MP, President of TLS and dear friend @tundulissutz He is recovering well. It is Sad times for Tanzania. Let us all keep praying.”
Mbunge Lissu aliyejeruhiwa tarehe 7, Septemba kwa kupigwa risasi eneo la ‘area D’ mjini Dodoma.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.