Lil Wayne Aruhusiwa Kutoka Hospitali - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lil Wayne Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Afya ya Lil Wayne imeanza kuimarika. Jumapili iliyopita rapper huyo alipigwa na kifafa akiwa hotelini na kukimbizwa hospitali akiwa hajitabui. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, umeripoti kuwa Wayne ameruhusiwa kutoka hospitalini alipokuwa amelazwa mjini Las Vegas.

Kwa ujibu wa taarifa iliyotolewa na madaktari, rapper huyo amedaiwa kutakiwa kupumzika kwa kipindi cha wiki mbili bila ya kufanya kazi yoyote ikiwemo kupanda jukwaani kutumbuiza.

Kwa hiyo Lil Wayne atatarajiwa kuonekana tena jukwaani kwenye tamasha lake la mwezi Septemba 23 ya mwaka huu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.