JE Hamisa Kanunuliwa Prado, Kuhamia Madale State House na Diamond, Anataka Kuzaa Mapacha - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

JE Hamisa Kanunuliwa Prado, Kuhamia Madale State House na Diamond, Anataka Kuzaa Mapacha

Taarifa zinazosamba kwa sasa kuhusu Hamisa Mobetto na Diamond Platnumzzimekuwa nyingi huku Udaku mwingi ukipatikana kwenye SnapChat zao

Kuna tetesi tatu kubwa kwa sasa zinazohusu Hamisa kununuliwa gari aina ya #Prado Land Cruise , Hamisa Mobetto Kuhamia State House, Nyumbani kwa Diamond Platnumz Madale, Na Hamisa kutafuta Mapacha na Diamond.
Maneno haya kwenye SnapChat yamezua tetesi kuwa Hamisa anataka Mapacha na Diamond 
Snap Hii imezua uvumi kuwa Hamisa kununuliwa gari aina ya #Prado Land Cruise na Diamond Platnumz ua Kasha nunuliwa


Na Snap hii kuhusu wapangaji imezua tetesi kuwa Hamisa Mobetto anampango wa Kuhamia State House na Diamond Platnumz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.