Chuchu Hans Abadili Mawazo Adai Hayuko Tayari Kuolewa Na Ray - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chuchu Hans Abadili Mawazo Adai Hayuko Tayari Kuolewa Na Ray

Mwigizaji wa Filamu za Kibongo Chuchu Hans amefunguka na kusema kuwa hayupo tayari kabisa kuolewa na mpenzi wake wa sasa Ray na ameamua kuzaa naye ili kumpatia zawadi kama ukumbusho.

"Sitamani Kuolewa na Ray Tena Ila Nimeamua Kumpa Zawadi ya Mtoto" alisema Chuchu.

Pamoja na hayo mwanadada huyo amekanusha habari kuwa yeye na ray wanaishi pamoja kama mke na mme na kusema kuwa kila mtu anaishi kwake.

"Hatujawahi wala haijawahi kutokea mimi nay eye kuishi pamoja yeye anaishi kwao na mimi ninaishi kwangu" alisema Chuchu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.