Chelsea Yatoka Sare ya 0-0 na Arsenal - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chelsea Yatoka Sare ya 0-0 na Arsenal

Arsenal walipatapa pointi yao kwanza katika uwanja wa Chelsea, baada ya kuonyesha mechi safi ambayo nusura iwape ushindi dhidi ya mabingwa hao wa Premier League, ambao walimaliza mechi na wachazaji 10.

Hii inamuacha meneja Arsene Wenger na matumaini kidogo baada ya kichapo cha mabao 4-0 walipocheza na Liverpool mwezi uliopita.

Pedro alipoteza fursa nzuri ya Chelsea katika kipindi cha kwanza ambapo jitihada zake zilizimwa na kipa Peter Cech.

Katika kipindi cha pili Chelsea wakipata pigo pale David Luiz alilishwa kadi nyekundua alipomchezea vibaya Sead Kolasinac.

Wenger anasema kuwa kipigo cha mabao 4-0 walichopewa na Liverpool, matokeo yalichochea lawama kali dhdi yake na hata kwa wachezaji ilikuwa na ajali.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.