Bill Nass Katika Kuoa, ‘Nandy Nampa Zaidi ya Asilimia 60’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bill Nass Katika Kuoa, ‘Nandy Nampa Zaidi ya Asilimia 60’

Msanii wa muziki Bongo, Bill Nass amesema kwa sasa hana mpango wa kuoa.

Hitmaker huyo wa ngoma ‘Mazoea’ ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Sina Jambo’ amefunguka kuwa hata ukifika muda ana vigezo vyake anavyozingatia.

“Sijakaa nikafikiria kwa sababu mimi nina vigezo vyangu ambavyo nataka, najua namtaka mwanamke wa aina gani. kwanza suala la kuoa kwangu linapita mbali, siyo kwamba nafikiria sana,” Bill Nass ameiambia Bongo5.

Alipoulizwa kuhusu Nandy ambaye amekuwa ikisemekana wapo wote katika mahusiano anampa asilimia ngapi katika vigezo vyake, alijibu; Nandy nampa zaidi ya asilimia 60.

Bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.