Askofu Gwajima Aongea Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kuileta ‘Private Jet’ yake Tanzania - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Askofu Gwajima Aongea Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kuileta ‘Private Jet’ yake Tanzania

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta PRIVATE JET yake Tanzania ambayo ameinunua Marekani. Kwenye hii video fupi hapa chini Gwajima amesema “Mimi nasema kwenye maisha yangu sishindwi hata sasa hivi nimekuja hapa Marekani narudi na Private Jet, nanunua…. why not? wale mlio Tanzania mnisikie anaeleta ngebe namkata ngebe kwa jina la Yesu“

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.