Aliyekuwa Lebo Moja na Ali Kiba ‘Baraka Da Prince’ Aonyesha Kukubali Kazi Mpya ya Diamond Platnumz - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aliyekuwa Lebo Moja na Ali Kiba ‘Baraka Da Prince’ Aonyesha Kukubali Kazi Mpya ya Diamond Platnumz

Aliyekuwa msanii kwenye Lebo moja #RockStarr4000 na Ali Kiba ‘Baraka Da Prince‘ ameonyesha kukubali kazi mpya ya Diamond Platnumz aliyowashirikisha Morgan Heritage.

Baraka ni miongoni mwa wasanii wasiojua kuficha hisia zao juu ya muziki wa wasanii wenzake.

Post yale leo ilikuwa hivi kuhusu colabo ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage – Hallelujah >Baraka Da Prince>🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Diamond Platnumz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.