Ommy Dimpoz Aamua Kuonyesha Busara, Afuta Post ya Iliyoleta Gumzo Mitandaoni Akiwa na Mama Diamond - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ommy Dimpoz Aamua Kuonyesha Busara, Afuta Post ya Iliyoleta Gumzo Mitandaoni Akiwa na Mama Diamond

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni ishu ya Ommy Dimpoz kuamua kuifuta post yake aliyoiweka kwenye Instagram ikiambatana na picha yake akiwa na mama Diamond jambo ambalo lilitolewa maoni sana na Watanzania.

Miongoni mwa mastaa ambao hawakuupenda ujumbe huo ni pamoja na meneja wa zamani wa Ommy Dimpoz Mubenga, Aunty Ezekiel na hata Dada wa Diamond ambaye aliweka comment moja kwa moja kwenye post hiyo akimkanya Dimpoz kutomuingiza mama Diamond katika ugomvi wake na Diamond.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.