Mbunge Tundu Lissu Aandika Maneno Makali Kwa WCB Wasafi, Awaita Wavaa Mawigi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mbunge Tundu Lissu Aandika Maneno Makali Kwa WCB Wasafi, Awaita Wavaa Mawigi

Post kutoka kwa mbunge Tundu Lissu ambayo ina trend sana kwa sasa ni hii aliyofunguka kwa kusema kuwa ''Hakuna kitu kibaya kama wanaume sita kuvaa mawigi kupambana na mtu mmoja. #seduceme''
Nini maoni yako mdau ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.