Nay wa Mitego 'Godzilla Njoo Nikusaidie kwa Stress Ulizonazo' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego 'Godzilla Njoo Nikusaidie kwa Stress Ulizonazo'

Msanii wa Bongo Flava, Nay wa Mitego amezidi kuwasha moto kama inavyoeleza kwenye ngoma yake mpya ‘Moto’.

Nay kupitia mtandao wa Instagram ameendelea kuwashukia baadhi ya wasanii ambao amewataja katika ngoma yake hiyo. Haya ndio aliyoandika kuhusu, Godzilla na Bill Nass.

"Ujinga Ni Kukasilika Pale unapo Ambiwa Ukweli. Una panic #MotoWatag Walio Panic na Kubishana na Ukweli mi naanza na @kingzilla_tz aiseh Yule Mwanamke nitakupa Number yake Mi Mwenyewe Japo Najua huto Muweza. Ila @billnass Una Roho Mbaya sana Kijana Hutaki Kumpa ata Upenyo Kaka ako.!?, Njo Nikusaidie @kingzilla_tz Maana Stress Ulizo nazo Utaja kula Ngada Bureeeee. Karibu #FreeNation966 Tuta kurudisha kwenye Game.!, #Moto "

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.