Mrembo Aliyemkatia Mauno Roma Jukwaani Amchefua Mke wa Roma (+Video) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mrembo Aliyemkatia Mauno Roma Jukwaani Amchefua Mke wa Roma (+Video)

Mke wa msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Roma anaonekana kukurerwa na kitendo cha mrembo mmoja aliyekuwa akimkatia mauno mume wake jukwaani.

Kitendo hicho kilitokea wiki iliyopitia wakati Roma akifanya show yake ya kwanza tangu alipopatwa na mkasa wa kutekwa. Kupitia mtandao wa Instagram Mke wa Roma alipost video na kuandika yafuatayo.
Kuwa Na Mume Msanii Wakati Mwingine Ni #Stress Nyie Acheni Tu Jamani!!!😢😢😢😢
.
.
Aaaf kuna vibinti ndiyo kama vinafanya makusudi👆👆 Kama Huyu!!!
Nilitamani Nipande Jukwaani Nikamshushe.
Sijui Hata alivyombeba alimpeleka wapi!!!!😢😢
.
.
Aaaah Ntafanyaje Mie Na Ndiyo Kazi Inayonifanya Niende Saloon!! .
.
By the way uliua…Show nzuri kama kawaida yako
Cc @usimsahau_mchizi_roma@usimsahau_mchizi_roma

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.