Mchezaji wa Zamani wa Real Madrid Roberto Carlos Apata Mtoto wa Tisa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mchezaji wa Zamani wa Real Madrid Roberto Carlos Apata Mtoto wa Tisa

Roberto Carlos akiwa na mkewe, Mariana baada ya kujifungua mtoto wa pili kwenye mahusiano yao mwishoni mwa wiki waliyempa jina Marina. Huyo anakuwa mtoto wa tisa beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid, kwani amezaa watoto saba na wanawake wengine kabla ya Mariana.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.