Huu Ndio Mpunga Anaoingiza Ronaldo Kupitia Instagram Tu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Huu Ndio Mpunga Anaoingiza Ronaldo Kupitia Instagram Tu.

Cristiano Ronaldo ana watu milioni 104 wanaomfuatilia katika mtandao wa Instagram.

Ronaldo anawatumia watu hao kujiingizia pauni 310,000 (zaidi ya Sh milioni 888) kwa vitu kadhaa ambavyo amekuwa akitupia kwenye mtandao huo kama sehemu ya biashara.

Ronaldo ndiye mwanasoka pekee aliye katika 10 Bora ya wale wenye wafuatiliaji wengi zaidi katika Instagram.


MASTAA WENYE WAFUATILIAJI WENGI ZAIDI

1. Selena Gomez – 122 million followers – £425,000 per post

2. Kim Kardashian – 100 million followers –  £387,000 per post

3. Cristiano Ronaldo – 104 million followers – £310,000 per post

4. Kylie Jenner – 95 million followers – £310,000 per post

5. Kendall Jenner – 81.7 million followers – £286,000 per post

6. Khloe Kardashian – 68 million followers – £193,000 per post

7. Kourtney Kardashian – 57.8 million followers – £193,000 per post

8. Cara Delevingne – 40.4 million followers – £116,000 per post

9. Gigi Hadid 34.7 million followers – £93,000 per post

10. Lebron James – 30.7 million followers – £93,000 per post

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.