Hamisa Mobetto Amchokonoa Zari, Ajiita 'Mama Dee...' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hamisa Mobetto Amchokonoa Zari, Ajiita 'Mama Dee...'

Mrembo Hamisa Mobetto anazidi kuzichukua headlines tangu ilipojulikana kuwa ni mjamzito mpaka ujauzito wake kuhusishwa na Diamond Platnumz mpenzi na mzazi mwenzake na Zari The BossLady na raundi hii amepost picha akiwa Nairobi na kuandika Mama Dee..?

Wanasema mwenye macho haambiwi tazama..
A post shared by HamisaMobetto (@hamisamobetto) on

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.