Hamisa Mobetto Afunguka Kuhusu Ujauzito Wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hamisa Mobetto Afunguka Kuhusu Ujauzito Wake

Stori ambayo imekuwa ikitrend kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu Mwanamitindo wa Bongo Hamisa Mobetto kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz huku pia ikielezwa kuwa na ujauzito wa staa huyo lakini Hamisa Mobetto ameamua kuuweka hadharani ukweli kuhusu ujauzito huo.

Kupitia Instagram yake leo July 3, 2017 Hamisa amepost picha mbili tofauti ambapo akiandika kwenye picha ya kwanza “Mamaa, Angalizo Ushauri peleka angaza.” Na picha ya pili akaandika: “Mama Daa…. Mama Dee….. Mama Diii…..  Mama Doo… Mama Duu….”


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.