Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000

Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya #Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya #Rockstar4000 Music Entertainment Co & Rockstar Television.

Alikiba sasa anakuwa sehemu ya wasanii waliochini ya Rockstar4000 pia anakuwa Director of Music n Talents.

Rockstar Television inajishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya mastar tofauti kutoka nchi mbalimbali na kuvisambaza katika vituo vya Television vya kimataifa.

#MkurugenziAli #DirectorKibaMfanyie Mwanamke wako Style Hizi hatokusahau Milele 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.