Ben Pol: Wanaozani ni Kiki Wasubirie Ndoa Yangu na Ebitoke - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ben Pol: Wanaozani ni Kiki Wasubirie Ndoa Yangu na Ebitoke

Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa.

Hayo ameyasema Jana wakati wa show ya Miaka kumi na tano ya Msanii Mkongwe Tanzania Saida Kalori, Iliyofanyika pale Escape One Jijini Dar es Salaam.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.