Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini, Ishu ya Sumu Pia. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini, Ishu ya Sumu Pia.

Anasema hajapewa sumu bali alipata stroke BP ikapanda ikapelekea damu kumwagika kwenye ubongo.

Daktari akasema hawezi kurudia kama kawaida.
Madaktari walitaka kumfanyia operation ila presha ikawa 220 wakati normal BP ni 120.

Dokta alipoona hawezi kupona tena aliniita nije kumuaga na baada ya kumuaga saa 2 usiku nikapigiwa simu mgonjwa wako amekufa.

Watu wanasema kuna bifu kati yangu na familia ya Ivan ila sina bifu na familia ile.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.