Video: Mkuno Classic ft Ommy - Bado Nipo Nae - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Mkuno Classic ft Ommy - Bado Nipo Nae

Baada ya kuiachia Audio ya ngoma yake kijana kutoa pande za Kigoma,- ujiji amekuletea kichupa chake kipya ambacho amemshirikisha Ommy.


Bongoswaggz inakukaribisha kuitazama chupa mpya na msanii mpya wa kwanza kutoka kigoma ambae anapata mafanikio kwenye kazi ya mziki.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.