Ujumbe wa Vanessa Mdee kwa Jux, Atupa Dongo Gizani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ujumbe wa Vanessa Mdee kwa Jux, Atupa Dongo Gizani

Ni jambo zuri ukiona mtu wako wa karibu amefanikisha moja ya ndoto zake katika maisha yake. Ni muhimu kumpatia ujumbe ambao utakaomtia moyo katika kufanikisha mambo yake mengine aliyoyapangilia.

Vanessa Mdee ameamua kutumia vizuri fursa hiyo katika kumpongeza mpenzi wake Jux ambaye amehitimu masomo yake huko nchini China. Lakini katika ujumbe huo pia Vee amewapiga dongo watu waliokuwa wakimkejeli mwenza wake huyo kutokana na muimbaji huyo kutoonyesha picha yoyote akiwa na wanafunzi wenzake.

Kupitia mtandao wa Instagram, Vanessa ameandika:

Congratulations @juma_jux U finally done ✅ and you done did it well. Hapo watu walikuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani hii picha jibu la kutosha. Umeweza kufanya yote, MZIKI, BIASHARA NA SHULE… now that’s exceptional. Muda wa vibunda babaaa. Keep inspiring the YUTEEEEE πŸ™ŒπŸΎπŸ‘ŒπŸΎπŸŽŠ

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.