U-Head: Edu Boy Atoka na Demu wa Young Killer, Habari kamili Iko hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

U-Head: Edu Boy Atoka na Demu wa Young Killer, Habari kamili Iko hapa.

Licha ya kuwa katika bifu zito wakali hao wanaotoka the rock city na wanaotembea kwenye miondoko ya Hip hop kwa hapa bongo, Young killer na Edu boy bado hawajawahi kuwasiliana tangu waingie kwenye vita hiyo.

Kukatika mkono haimaanishi ni mwisho wa kutembea, licha ya Young Killer kuwa na bifu na Edu boy lakini Edu boy ni rafiki kipenzi na kama ndugu kwa demu wa matunzo ziro. Usiku wa kuamkia leo Shilawadu kutoka mwanza waliwanasa demu wa young killer akiwa na Edu Boy.

Bongoswaggz inakukaribisha kuyasikia majibu ya Young Killer alipoulizwa kuhusiana na ukaribu wa Edu Boy na demu wake Play kusikiliza.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.