Sahau Kumuona Mkaliwenu akiwa Timamu Tv kwasababu Hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sahau Kumuona Mkaliwenu akiwa Timamu Tv kwasababu Hii

Kama utakuwa karibu na mtandao wa instagram basi huwenda ukawa umeshafanikiwa kuiona akaunt mpya ya @mkaliwenuoriginal ambayo imefunguliwa siku kadhaa baada ya mchekeshaji huyo kujitenga na timamu media.

Bongoswaggz imelidhibitisha hilo baadaya madai ya mchekeshaji huyo kuomba kuongezwa kipato baada ya kuonekana media hiyo inapiga mpunga mrefu tofauti na malipo.


Kwasasa mchekeshaji huyo anafanya kazi akiwa pekeake na anasema kwasasa anajiamini na maamuzi yake baada ya kuwa na sehemu kubwa kwa sasa na tafanikiwa pia.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.