Picha9: Jux Amaliza Masomo yake nchini China. Tazama Alivyo furahika hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha9: Jux Amaliza Masomo yake nchini China. Tazama Alivyo furahika hapa.

Baada ya kuathimisha siku ya musiki duniani. Leo msanii kutoka bongo anafanya vizuri kwenye ngoma yake mpya, Juma mussa a.k.a Jux hatimae ameitimu masomo yake nchini chini aliyosoma kwa muda wa miaka minne.

Bongowaggz inakukaribisha kutazama jinsi kilivyo happen kwenye sherehe hiyo huko pande za uchinani.

Alichokisema Jux Baada ya Kumaliza Masomo yake Nchini China. Tazama Hapa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.