News: Diamond Platnumz : Sina Shobo na Watoto wa Kishua Kwenye Muziki Kwasababu Hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

News: Diamond Platnumz : Sina Shobo na Watoto wa Kishua Kwenye Muziki Kwasababu Hii

Kama ulikuwa unawaza ama kuhisi kuwa ili kujiunga na kundi la WCB ni lazima kwenu kuwe na maisha mazuri basi kwa kauli hii ya Diamond Platnumz unapaswa kuachana na fikra hiyo.

Kupitia kipindi cha 255 cha Clouds Fm Diamond Platnumz alieleza sababu ya yeye kuwakataa na kutokuwa na mpango wa kuwa na watu wenye familia za juu katika lebo yake ya Wasafi Classic kwa sababu hizi.

" Mimi ni mtoto wa kimaskini na nimaangaika sana kwenye kazi yangu ya mziki sasa unapowazungumzia watoto wa kishua kwanza wanadharau sana na wanakuwa hawana maadili katika kazi na wanajua kabisa pesa kwao ipo, hivyo hawezi kuwa na uchungu wa kazi tofauti na kijana wa kimaskini"

Bongoswaggz haitaki kukunyima uhongo wa kuisikiliza hii sauti ya Diamond Platnumz moja kwa moja ili ujue kama unataka kujiunga WCB basi uwe hivi.

Diamond Platnumz : Sina Shobo na Watoto wa Kishua Kwenye Muziki Kwasababu Hii

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.