News: Chanzo Cha Bifu la Diamond Platnumz na Alikiba Cha bainika. Isome Hii Ujue nani Chanzo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

News: Chanzo Cha Bifu la Diamond Platnumz na Alikiba Cha bainika. Isome Hii Ujue nani Chanzo.

Hakika kumekuwa na Sinto fahamu kuhusu Dimond Platnumz kutoka usafini na Alikiba mzee wa 'Aje' kutaka kuju kinagaubaga chanzo cha bifu zito kutoka kwa waili hao ambao wote wanafanya mziki wa bongo fleva.

Kupitia ki[indi cha XxL cha CloudsFm kuliptika interview ya AT msanii kutokea pande za mji wa karafuu na kuitambulish ngoma yake iliyokuwa inakwenda kwa jina la 'Melody' ambapo humo kazungumziwa Alikiba na Diamond Platnumz tu.

Watangazazji wa Clouds wakiongozwa na @B12 walimuhoji anachokijua kuhusu wawili hao na msanii AT akajibu kama ilicyo kuwa chanzo cha bifu la wawili hao.

"Tulikuwa Oman kwenye mji wa kiarabu nilikuwa mimi ali pamoja na nasibu tulikuwa tunacheza game na ali alikuwa ni Barcerona na Nasibu alikuwa ni Madrid ambapo Nasibu alimfunga ali, Sasa ali alipokuwa nataka kufunga ili asawzishe Nasibu akamsukuma aliakashidwa kugunga sasa hapo ndo wakaanza maneno"

Staki nikunyime Uhondo nimekuwekea hapo katika video hapo chini niliyoiokta kutoka Cloudsfm Msikilize Hapo AT akuwek wazi chanzo cha Bifu kati ya hao wawili.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.