Mzee Yusuf Anyoosha Maelezo juu ya Kuwaachana na Wake zake. Awapa Vijembe wanao mzulia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mzee Yusuf Anyoosha Maelezo juu ya Kuwaachana na Wake zake. Awapa Vijembe wanao mzulia

Aliekuwa msimamizi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu yenye maskani yake kinondoni ambae kwasasa ameamua kuachana na muziki na kuigeukia dini Mzee yusufu ameamua kufunguka kuhusu kuwaacha wake zake.

Siku chahe baada ya Mzee yusufu kuigeukia dini kumekuwa na taarifa za msanii huyo kuwaacha wake zake ambao wao bado wanaliendesha kundi la Jahazi Mordern Taarabu.

Bongoswaggz inaungana na Infomer wake na kukusogezea video hii ya mzee yusufu alipokuwa akihojiwa na Choise Fm na kugunguka kuhusu mambo hayo.
Sikiza Mzee Yusufu Akijibu Tuhuma Za yeye Kuachana na Wake zake. Hapa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.