Manchester Klabu Tajiri Zaidi Duniani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Manchester Klabu Tajiri Zaidi Duniani

Manchester united timu yenye thamani kubwa duniani.

Klabu ya Manchester United imetajwa kuwa ndio timu yenye thamani kubwa duniani kwa mujibu wa jarida la habari za biashara la Forbes

United inathamani ya kiasi cha pauni billion 2.86 hii ni mara ya kwanza kwa Man United kuongoza listi hiyo katika miaka mitano.

Barca wako katika nafasi ya pili wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.82, mabingwa wa ulaya Real Madrid wakoa katika nafasi ya tatu wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.77.

Timu zinazofuata kwa thamani duniani

4) Bayern Munich - $2.71bn (£2.10bn)

5) Manchester City - $2.08bn (£1.61bn)

6) Arsenal - $1.93bn (£1.50bn)

7) Chelsea - $1.85bn (£1.43bn)

8) Liverpool - $1.49bn (£1.15bn)

9) Juventus - $1.26bn (£980m)

10) Tottenham - $1.06bn (£820m)

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.