Mamayake Diamond Platnumz Awachamba Shilawadu. Wajuta kumpigia simu Kisa hiki Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mamayake Diamond Platnumz Awachamba Shilawadu. Wajuta kumpigia simu Kisa hiki Hapa.

Baada ya kumaliza mazishi ya aliyewahi kuzaa na Zari the boss sasa tunarudi kwa nyota ya mziki ya tanzania na mmiliki wa lebo ya Wcb hapa namzungumzia Diamond platnumz.

Shirika la wambea duniani linalongozwa na Soudy Brown ziliwafikia taarifa za kuhusu Diamond kumpa kibendi Hamisa mobetto,aliyewahi kutokea kwenye video ya salome ya Rayvanny.

Bongoswaggz inakusogezea video ya soudy brown alipopokea kichapo kutoka kwa mama yake na Diamond kuhusiana na kumpa mimba Hamisa mobeto.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.