Huwenda Christiano Ronaldo #CR7 akarejea Nyumbani Manchester United Msimu huu Kwa Sababu hii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Huwenda Christiano Ronaldo #CR7 akarejea Nyumbani Manchester United Msimu huu Kwa Sababu hii.

Kama ni habari ambazo huwenda zikawa zinawapa simanzi zaidi mashabiki wa Real Madrid ya nchini Hispania ni hii taarifa ya nyota wa klabu hiyo kutaka kuondoka klabuni hapo kabla ya msimu mpya kuanza.

Labda huwenda ukawa hujaijua sababu iliyomfanya nyota huyo kutaka kuihama timu hiyo licha ya mkataba wake unamalizika 2022 ni ushuru mkubwa wanaokua wanatozwa wachezaji wenye platfom kubwa katika soka.

Tetesi ni kuwa winga huyo wa ureno aliyejiunga klabu ya Real Madrid akitokea klabu ya Manchester United kwa ada ya pauni 80m huwenda akarejea klabuni hapo kwa ada ya 160m kwa mujibu wa klabu ya real madrid.

Kumbuka kuwa Klabu ya Manchester United ndio klabu tajiri duniani kwa sasa na Sir Alex ferguson na Christiano ronaldo wanaukaribu zaidi, hivyo kunauwezekano mkubwa star huyo kurejea OT.

Je? Umri wa Christiano ronaldo unaweza bado ukawa ni matunda kama atarejea klabuni hapo. Dondosha Comment yako.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.