Fally Ipupa kuja na Albamu ya 'Tokoos' mwezi julai. Be ready - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Fally Ipupa kuja na Albamu ya 'Tokoos' mwezi julai. Be ready

Licha ya kufanya vizuri kwenye 'Eloko oyo' sasa mashabiki wa Fally Ipupa mkae mkao wa kula julai 7 mwaka huu kwa kuipokea ile ahadi ya mkali huyo kutoka pande za ukongoni.

Bongoswaggz inakuthibitishia taarifa za kuwepo  albamu ya Fally Ipupa aliyoipa jina la 'Tokoos' baada ya kuposti ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter.
 "New albam #Tokoos julai 7#


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.