Diamond Platnumz: Mimi na Wema Sepetu Tunakutana sana kwenye Mambo haya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz: Mimi na Wema Sepetu Tunakutana sana kwenye Mambo haya

Kama ulikuwa unahisi kuwa masupa star wa hapa bongo, Diamond Platnumz na mwanadada Wema Sepetu bado wanako kwenye bifu lao ambalo liliibika mara tu ya baadada ya kuachana kwa wawili hao, basi chibu anaujumbe kwaajili yako.

Bongoswaggz imeinasa sauti ya Diamond Platnumz akiuzungumzia Ushikaji wake na Wema sepetu na kwanini ameamua awe mshikaji wake. Sikiliza kwenye kivideo hiki.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.