Audio: Mr Blue ft Jr - Siwezi | Download & Listen - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Mr Blue ft Jr - Siwezi | Download & Listen

Baada ya kuwa kimya kwa muda karibu miezi mitano Leo kutoka kwenye mikono ya Man Walter, Herry samair a.k. Mr Blue kutoka pande za Kariakoo amekudropishia mpya kutoka kwake.

Bongoswaggz inakukaribisha Kuipakuwa ngoma moya ya Mr blue aliyomshirikisha Jr na kupikwa vyema na Man Walter na kuipa jina la 'SIWEZI' Enjoy
https://my.notjustok.com/track/download/id/237205

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.