Aslay: Nitaondoka Yamoto Band Kama Wakinifanyia Mambo Haya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aslay: Nitaondoka Yamoto Band Kama Wakinifanyia Mambo Haya.

Kama Utakuwa umeanza kuingia mashaka kuhusu kutoa ngoma kwa msanii mmoja moja katika kundi la Yamoto Band, basi unapaswa ujue taarifa hii muhimu kutoka kwa Aslay a.ka dingi mtoto anaetamba na kibao cha 'Acha Nilewe'

Kama 'Yamoto Band' watajiaribu kumdis Aslay et kwakuwa anatoa ngoma kwa mkupuo au na akiwa peke yake bila kumshirikisha hata mmoja katika kundi lake hali ya kuwa amesha pewa baraka na Mkubwa fella basi unapaswa kulijua hilo.

Bongoswaggz inakukaribisha kuisikiliza Exclusive interview ya Aslay alipokuwa akicheka na kipaza sauti cha Choisefm. play kusikiliza ubuyu huo

Aslay: Nitaondoka Yamoto Band Kama Watanifanyia Haya


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.