Alichokisema Rayvany Baada ya Jason Derulo kumkubali na kuamua kufayanae Kolabo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alichokisema Rayvany Baada ya Jason Derulo kumkubali na kuamua kufayanae Kolabo.

Kipindi hiki ni kipindi cha msimu wa cokestudio ambapo tayari tumezikusanya taarifa za ukaribu wa msanii kutoka usafini Rayvanny akiwa amepata shavu kutoka kwa mzee wa 'Wiggle wiggle' Jason Derulo.

Bongoswaggz haitaki kukunyima uhondo na inakukaribisha kumsikiliza Ravyany akikwambia jinsi alivyo jinsikia baada ya Jason Derulo kumkubali kyfanya nae kolabo. msikilize hapa.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.