Walioivuruga Simba, Kesho mchana wanatinga Yanga - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Walioivuruga Simba, Kesho mchana wanatinga Yanga

Klabu ya Yanga Mei 17, 2017 saa 6 mchana inatarajia kutilia saini kandarasi ya udhamini na Kampuni ya SportPesa. kama utakuwa na kumbukumbu sahihi kampuni ndio imeongia mkataba wa miaka 5 na Simba Sc kwa shilingi Bilioni 4.9, mkataba ambao umeibua mvurugano baina ya Viongozi wa klabu hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.