Video: Young Dee - Bongo Bahati Mbaya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Young Dee - Bongo Bahati Mbaya

Hivi utafanya nini kama ukigundua kuwa hukupaswa kuishi bongo labda, sasa msanii rapper mahiri Young Dee amekuja na hii ya 'Bongo Bahati Mbaya' ambayo tumemshuhudia qboy na umber lulu wakiwa kwenye kichupa hicho.

Bongoswaggz inakukaribisha kuitazama video mpya ya Young Dee aliyoipa jina la 'Bongo Bahati Mbaya'


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.