Video: Harmorapa Ft. Cpwaa & Ronei - Nundu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Harmorapa Ft. Cpwaa & Ronei - Nundu

Hapa unaweza kumwita mzee wa kiki au mzee wa kibastola, msanii anaefanya vizuri na ngoma ya 'Kiboko ya mabisho'aliyomshirikisha Juma nature hatimaye ameachia kigongo kingine cha audio ya Nundu.

Bongoswaggz inakukaribisha kuipakua na kuitazama video mpya ya harmorapa aliyoipa jina la nundu. Enjoy


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.