Video: David Beckham awasili Tanzania Angalia mapokezi yake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: David Beckham awasili Tanzania Angalia mapokezi yake

Aliewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United na nahodha wa England ambae aliamua kulimalizia soka lake nchini marekani hatimae jumapili ya leo aikanyaga ardhi ya tanzania.

Bado haijatambulika dhamira ya ujio huo kwa mwanamitindo huyo wa nchini england lakini taarifa ni kuwa tayari amasha wasili Tanzania asubuhi ya leo.

Bongoswaggz inaungana na infomer wake na kukupa kipande cha video jinsi David Beckham alipokuwa aakiwasili Tanzania aliwa na watoto wake.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.