Video: Darassa - Hasara Roho - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Darassa - Hasara Roho

Baada ya kutukomesha kwenye ngoma ya 'Muziki' msanii rapper Darassa ameachia ngoma mpya ambayo amea kuifanyia zanzibar.

Bongoswaggz inakukaribisha kuitazama video mpya ya Darassa aliyoipa jina la 'Hasara Roho'.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.