U-Heard-: Alichokisema Diamond Platnumz kuhusu Zari kumtembelea Ivan Hospitali - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

U-Heard-: Alichokisema Diamond Platnumz kuhusu Zari kumtembelea Ivan Hospitali

Ni wiki kadhaa sasa zimepita tangu tulipo pokea taarifa za kuumwa kwa Ivan, baba wa watoto watatu wa mpenzi wa Diamond Platnum, Zari The Boss Lady.Kibongo bongo issue ambayo ilikuwa kesi kwenye suala hilo ni kitendo cha Zari kwenda kumuona mzazi mwenzake huyo Hospitalini ikiwa ina fahamika fika kuwa walikwisha kuachana.

Na pia zikazuka story kuwa Zari na Diamond hawapo kwenye maelewani mazuri na ndio maana Zari anakwenda hospitalini kwa kujiachia.

Soudy Brown leo amemkamata Diamond Platnumz kwenye exclusive interview na kumtaka alizungmzie suala hilo. Uhondo kamili nimekuwekea kwenye  video hii hapa chini ili uweze kuusanukia mchongo mzima

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.