Tunda afunguka mwanaume aliyetaka kuwa nae, asema si Young D - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tunda afunguka mwanaume aliyetaka kuwa nae, asema si Young D

VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebasita ‘Tunda’ hivi karibuni ameibuka na kumkana aliyewahi kuwa mpenzi wake David Ganzi ‘Young D’ kuwa si mwanaume hasa aliyewahi kutamani kuwa naye huko nyuma na juu ya uhusiano wao ni jambo ambalo lilitokea tu.

Akichonga na Uwazi Showbiz, baada ya kuulizwa ni mwanaume gani alitamani kuwa naye Bongo huko nyuma na hakupata bahati ya kuwa naye, Tunda alisema hayupo maana mwanaume aliyetamani kuwa naye amekwisha kuwanaye lakini si Young D.

“Siwezi kulitaja jina lake wazi, lakini kiukweli mwanaume ambaye nilitamani sana kuwa naye tayari nilikwishakuwanaye na tukaachana lakini naweka wazi kuwa si Young D,” alimaliza Tunda.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.